Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Halafu huu msemo WATU HATUNA HELA alaaniwe alieuleta/anzisha!..
Toyota wakileta kiwanda hawataangalia watz million 40 kununua wanaangalia ukanda wa afrika mashariki na kati. Huna hela nunua baiskeli huna hela panda daladala!..
By the way gari zitakua bei cheap zikitengenezwa hapa hapa!..Usinambie bei ya azam cola Tz ni sawa na Congo/malawi.
INAKERA!..