Magari ya Ujerumani Volkswagen T ROC

Magari ya Ujerumani Volkswagen T ROC

Kama umeipenda nunua Tu mkuu ,
Kuhusu mafundi wa magari ya ulaya wapo japo sio wengi Sana

Kikubwa gari ni service mara Kwa mara , kuweka oil inayotakiwa , hakika gari itadumu Sana

Ushauri wangu ,kama unataka kumiliki gari ya ulaya hakikisha unamjapani wako pembeni siku ikikataa safari unatembea na mjep
 
Volkswagen ni kama Toyota Kwa ujerumani ni gari inayoaminika duniani hata ishu za mafundi sikuhizi wapo kama upo DAR hakuna haja ya kuwa na wasiwasi
 
Back
Top Bottom