Hansi willium
New Member
- Jun 17, 2022
- 4
- 6
Samahani kwa usumbufu hapa kidogo naomba niulize swali hapa kwa wale unaojua. Nataka ni nunue Volkswagen t roc 2018 hii gari ni nzuri san imetulia na ulaji wake wa mafuta ni wakawaida san sasa nilikuwa natak ushaur wenu kwa mafundi au kwa wale wazoefu wa magari unaweza nishauri chochote.