Kama umeipenda nunua Tu mkuu ,
Kuhusu mafundi wa magari ya ulaya wapo japo sio wengi Sana
Kikubwa gari ni service mara Kwa mara , kuweka oil inayotakiwa , hakika gari itadumu Sana
Ushauri wangu ,kama unataka kumiliki gari ya ulaya hakikisha unamjapani wako pembeni siku ikikataa safari unatembea na mjep