Magari ya viongozi yamechakaa, out of fashion, yanatia aibu

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nimeona magari mengi ya waheshimiwa wetuyansikitisha sana jamani,hivi wananchi wa TANZANIA mnakubali vipi watu wasiolala kwa ajili yetu,,waliojitolea maisha yao kwa ajili yetu waendeshwe kwenye magari ya hovyohovyo?

Siyo heshima kwa nchi, na suggest itengwe hata trillion 1 ishushe new models za uhakika kwa wapendwa viongozi wetu ili waweze kukutumikia kwa ufasaha kabisa,iwe mwisho kutumia magari ya model za zamani

kitu hiki hapa bana 2021 model,kuanzia ma DED, ma DC ma RC hadi ngazi za juu wapewe hizi banaaaa
 
Wewe kama sio kiongozi basi ni mtoto au mchepuko wa kiongozi

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nimetamani kukuzabua kofi ila ndio hivyo uko mbali.
 
Unalosema ni la msingi sana,ila ni lazima uwe na macho ya kuona mbali ndio mtu atakuelewa,magari yakisha chakaa gharama za maintanance huwa zinapanda maradufu,ni bora ya kuingia gharama ya kununua mapya mara moja halafu mnakaa miaka hata 6 au saba bila ya kununua mengine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…