Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Eeh, wanakanusha wakiwa Dar , ila ukweli ndio usemwao huku mikoani !Tuanaweza vipi kuafford? Unaambia utoe lita 180 ili mgonjwa wako afike hospitali ya rufaa?
Hili la kwenye matenga ulichomoa kwa kug'aka huko Tunduru.
Lakini ukweli ni kuwa hili ni tatizo sugu. Magari ya Wagonjwa bila kuchangia hupati huduma. Sijui labda kwa kuwa wewe unakaa mjini Dar.
Ila mimi najua huwa tunaambiwa kuchangia mafuta kulingana na umbali mgonjwa anapelekwa. Nyie mliosahau haya mambo endeleeni kula bata.
Hata ya polisi unachangia kama unaenda kumkamata mtuhumiwa.Tuanaweza vipi kuafford? Unaambia utoe lita 180 ili mgonjwa wako afike hospitali ya rufaa?
Hili la kwenye matenga ulichomoa kwa kug'aka huko Tunduru.
Lakini ukweli ni kuwa hili ni tatizo sugu. Magari ya Wagonjwa bila kuchangia hupati huduma. Sijui labda kwa unakaa mjini Dar.
Ila mimi najua huwa tunaambiwa kuchangia mafuta kulingana na umbali mgonjwa anapelekwa. Nyie mliosahau haya mambo endeleeni kula bata.
Halafu unakuta gari binafsi za watumishi wa umma zinatumia mafuta ya serikali. Jambo jingine ni matumizi ya ovyo sana ya mafuta. Unakuta gari ya Waziri, judge, na wengine imepaki ikimsubiri boss amalize kikao kutwa nzima inaunguruma. Unakuja kushangaa wanapongezana kwa ubadhirifu huu.Tuanaweza vipi kuafford? Unaambia utoe lita 180 ili mgonjwa wako afike hospitali ya rufaa?
Hili la kwenye matenga ulichomoa kwa kug'aka huko Tunduru.
Lakini ukweli ni kuwa hili ni tatizo sugu. Magari ya Wagonjwa bila kuchangia hupati huduma. Sijui labda kwa unakaa mjini Dar.
Ila mimi najua huwa tunaambiwa kuchangia mafuta kulingana na umbali mgonjwa anapelekwa. Nyie mliosahau haya mambo endeleeni kula bata.
Kutoka hospitali ya rufaa Morogoro kwenda Muhimbili wagonjwa walikuwa watatu, kila mmoja aliambiwa 450K, waliobargain waliishia 400K, huna kapandishe mgonjwa kwenye bus.Eeh, wanakanusha wakiwa Dar , ila ukweli ndio usemwao huku mikoani !
Wenzetu kodi zao zinalipia yote hayo, hapa kodi pamoja na tozo kibao ila ukipata janga utajipambania mwenyewe. Polisi anakwambia toa 30K kumfuata mtuhumiwa kilometa 5 tu tena kwa gari yake binafsi. Kujaziwa maelezo polisi unaenda kutoa kopi mwenyewe. Mtuhumiwa anahitaji kuwataarifu ndugu zake kuwa kakamatwa anaambiwa toa 5K ya vocha. Nchi ngumu kweli kweli kwa wenye nchiUnataka ulipiwe na nani hayo mafuta?? Cc Kiranga
SAMIA aliwaambia jana kuwa walipa kodi hapa Tanzania ni watu mil 2 tu kati ya watu mil 60..Maana yake wale ambao hawalipi kodi wanawanyonya hao wanao lipa kodi..na mbaya zaidi tunazidi kuzalianaWenzetu kodi zao zinalipia yote hayo, hapa kodi pamoja na tozo kibao ila ukipata janga utajipambania mwenyewe. Polisi anakwambia toa 30K kumfuata mtuhumiwa kilometa 5 tu tena kwa gari yake binafsi. Kujaziwa maelezo polisi unaenda kutoa kopi mwenyewe. Mtuhumiwa anahitaji kuwataarifu ndugu zake kuwa kakamatwa anaambiwa toa 5K ya vocha. Nchi ngumu kweli kweli kwa wenye nchi
ndugu,Tuanaweza vipi kuafford? Unaambia utoe lita 180 ili mgonjwa wako afike hospitali ya rufaa?
Hili la kwenye matenga ulichomoa kwa kug'aka huko Tunduru.
Lakini ukweli ni kuwa hili ni tatizo sugu. Magari ya Wagonjwa bila kuchangia hupati huduma. Sijui labda kwa unakaa mjini Dar.
Ila mimi najua huwa tunaambiwa kuchangia mafuta kulingana na umbali mgonjwa anapelekwa. Nyie mliosahau haya mambo endeleeni kula bata.
Hizo ni porojo tu, inawezekana wanaolipa kodi direct wakawa wachache. Ila tozo na indirect tax ni kubwa na mzigo mkubwa sana kwa wananchi. Alafu yeye mwenyewe na wanasiasa wenzake hawalipi kodi, anamlalamikia nani sasa. Matumizi yenyewe ya hizo kodi yanakatisha tamaa.SAMIA aliwaambia jana kuwa walipa kodi hapa Tanzania ni watu mil 2 tu kati ya watu mil 60..Maana yake wale ambao hawalipi kodi wanawanyonya hao wanao lipa kodi..na mbaya zaidi tunazidi kuzaliana
Kodi ninazolipaUnataka ulipiwe na nani hayo mafuta?? Cc Kiranga