Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu wanachezewaga shede za kipimbi na viongozi wao lakini bado wanajiita wasomi wabobevuHawa jamaa awaishiwi vituko,huyu nae kazindua daraja lililogharimu mamilioni ya kenya shilings huko kibera View attachment 1040389
Nimejiuliza sana rapsha ni nini baada ya kuona hivyo vi toy box nimeelewa. I love the originality tho'😆😆😆Ok sasa nimeelewa maana ya rapsha...si kwa vigari hivyo
Made In Kenya cars, BJ-50. They costs only KShs450,000 ($4,505.42) each.
View attachment 1040335View attachment 1040336
Pesa za serikali ndio zimetumika kuunda hizo ndinga
Wamejaribu wameweka, kudos Kenya
Sasa mbona sioni hizo gari,
Au unamaanisha hizo troli za kusombea udongo site......!
Sent using Jamii Forums mobile app
Made In Kenya cars, BJ-50. They costs only KShs450,000 ($4,505.42) each.
View attachment 1040335View attachment 1040336
Pesa za serikali ndio zimetumika kuunda hizo ndinga
Wamejaribu wameweka, kudos Kenya
Kama hizi ni zenu basi mmejaribu sana.
Sasa ulitaka afanye nini mkuuHalaf jamaa anatoa mkono wa pongezi kbs [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenyatta na wakikuyu😂😂😂😂Nani alituroga
Kama hizi ni zenu basi mmejaribu sana.
Mbona sioni kamba za kuvutia na Watoto mbele?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk