Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Yup mkuu kwenye lile bonde lenye mto mbalizi ambako kuna daraja la treniNdo pale kwenye reli jwa juu ukitokea airport?
Ndo pale kwenye reli jwa juu ukitokea airport?
Dah umefanya vizuri sana mkuu kutupia pichaView attachment 1931139
Ndo hapo hapo juu kwenye daraja tulisimana kupiga picha Leo
Lorilimetoka Congo.Limegonga magari matano mpaka lilivyoikuta semi nyenzake ndo brekiView attachment 1931143
ZimekusaidiajeDah umefanya vizuri sana mkuu kutupia picha
Ngoja tununue ndege kwanzaSolution ya pale .kwanza ni kuukwangua ule mlima kadri wawezavyo ili kupunguza ile slope.. Lakini pia kuipanua ile barabara iwe ya njia tatu au nne
Sahihi kabisaSolution ya pale .kwanza ni kuukwangua ule mlima kadri wawezavyo ili kupunguza ile slope.. Lakini pia kuipanua ile barabara iwe ya njia tatu au nne
Sasa hapo ni sehemu ya hamashauriya wilaya ya Mbeya (Mbeya vijijini) na sio Mbeya city council. Mbona Dar kuna maeneo nyumba hazitamaniki? milango ya vyoo ni magunia, choo hakina paa, mvua zikinyesha mnaokota kambale chini ya uvungu, huku mkipishana na misafara ya vinyesi vichochoroni.Nilidhani Mbeya Ni bonge ya city kumbe kumejaa vibanda vya mama ntilie.
Hathi ya Mbeya Ni Kama Chato tu.
Mwambie huyu jamaa.Sasa hapo ni sehemu ya hamashauriya wilaya ya Mbeya (Mbeya vijijini) na sio Mbeya city council. Mbona Dar kuna maeneo nyumba hazitamaniki? milango ya vyoo ni magunia, choo hakina paa, mvua zikinyesha mnaokota kambale chini ya uvungu, huku mkipishana na misafara ya vinyesi vichochoroni.