GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Maranyingi magari madogo kutoka chini kule yakiachiwa (baada ya nusu saa) huwa yanayakuta malori bado yanadema dema kupanda mlima haswa kama kuna breakdown katikati au kuna gari la mizigo ambalo halina nguvu vizuri. Inabaki kazi ya daladala na private cars kuovertake wakati malori yamejipanga yanamsindikiza mwenzao😂😂Hayo magari matano ni madogo au!? Si kunakuwa na zamu