Magari yanayotumia mawimbi ya redio yanakwenda kuua biashara ya mafuta, gesi na umeme

Magari yanayotumia mawimbi ya redio yanakwenda kuua biashara ya mafuta, gesi na umeme

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Swala la kuzalisha umeme wa kuendesha gari kwa kutumia mawimbi ya redio sio utani.

Nimejaribu kukagua makablasha ya physics nimepata jibu kama ifuatavyo:

Formula ya Kuzalisha Umeme Kutoka kwenywe Mawimbi ya Redio

Nguvu ya umeme inayozalishwa kutoka kwenye mawimbi ya redio ni sawa na:

Nguvu ya mawimbi ya redio inayopokelewa kwa kila mita ya mraba mara eneo la antena inayopokea mawimbi mara uwezo wa antenna kuongeza nguvu ya mawimbi yanayopokelewa mara asilimia ya nishati inayobadilishwa kuwa umeme halisi.

Kwa hiyo:

Nguvu ya umeme inayozalishwa (Watts) = Nguvu ya mawimbi ya redio yanayopokelewa (Watts kwa kila mita ya mraba) mara Eneo la antena inayopokea mawimbi (mita za mraba) mara Uwezo wa antenna kuongeza nguvu ya mawimbi yanayopokelewa mara Ufanisi wa mfumo wa kubadilisha mawimbi kuwa umeme.

Formula ya Kiasi cha Nishati Inayohitajika kwa Gari

Kiasi cha nishati inayohitajika kuendesha gari kwa muda fulani ni sawa na:

Nguvu ya motor ya gari mara muda wa gari kufanya kazi.

Kwa hiyo:

Kiasi cha nishati inayohitajika kwa gari (kilowatt-saa) = Nguvu ya motor ya gari (kilowatts) mara Muda wa matumizi ya gari (saa).

Mfano wa Mahesabu

Tuchukulie tunatumia antenna yenye eneo la nusu mita ya mraba (0.5 m²), uwezo wa antenna kuongeza nguvu ya mawimbi ni elfu moja (1000), na ufanisi wa mfumo wa kubadilisha nishati ya mawimbi kuwa umeme ni asilimia themanini (80%).

Ikiwa nguvu ya mawimbi ya redio katika mazingira ni elfu moja ya watt kwa kila mita ya mraba (10 milliwatts kwa mita ya mraba), basi umeme unaozalishwa utakuwa:

Nguvu ya umeme inayozalishwa = 10 milliwatts mara 0.5 mita ya mraba mara 1000 mara asilimia 80.

Nguvu ya umeme inayozalishwa = 4000 watts, ambayo ni sawa na kilowatts 4.

Ikiwa tunataka kuzalisha kilowatt-saa 50 kwa siku, tunahitaji wastani wa kilowatts mbili nukta nane (2.08 kW) kwa kila saa.

Kwa hiyo, kwa kutumia antenna ndogo yenye eneo la nusu mita ya mraba (0.5 m²), tunaweza kuzalisha kilowatts 4, ambayo ni zaidi ya nishati tunayohitaji kuendesha gari.

Kwa kutumia mfumo wa kupokea nishati kutoka kwa mawimbi ya redio, gari linaweza kuendeshwa bila kutumia betri za kuchajiwa mara kwa mara, mradi tu kuna chanzo cha mawimbi yenye nguvu ya kutosha.
 
Kwahiyo Uganda na south Sudan wataendelea kuwa masikin

Ina maana wese lao halitawasaidia kitu
 
Yako wapi hayo magari?
Walisema hivyo hivyo magari ya umeme, naona hata hayauziki.
Umeme ndio up next
..baada 10yes yatakuwa mengi used from china .....dunia inakimbiaaa sanaaa
 
Matumizi ya mafuta haya epukiki, je unajua hayo mawimbi ya redio huzalishwa na oscillator ambayo huitaji electrical power ilikuzalishwa?,na baada ya hapo unajua kwamba Kuna amplifier ambayo pia huitaji electrical power ili ku amplify signal waves?,kipi chanzo chake?
 
Umeme ndio up next
..baada 10yes yatakuwa mengi used from china .....dunia inakimbiaaa sanaaa
Hata baada ya miaka 100 Afrika hatutayaweza hayo magari. Naona watu wana uza nyumba kubwa na kununua au kujenga ndogo kwa kushindwa kumudu gharama za maji na umeme, sasa magari ndio tutaweza ? hayo yataishia huko huko huku kwetu hayata fika.

Hata hao 1% ya watanzania wanaomiliki uchumi wa nchi hii sidhani kama na wao wanayahitaji?
 
Waarabu Wana miliki visima vya mafuta,wenye biashara yao ni makampuni ya marekani na ulaya .alaf uchumi wa mafuta ndo unaendesha dunia.
 
Kwahiyo Uganda na south Sudan wataendelea kuwa masikin

Ina maana wese lao halitawasaidia kitu

Mkuu sio Uganda na S. Sudan tu, bali ni nchi nyingi zitakazo athirika.

Pia ni mashirika ya umeme mengi yatakufa na miradi mikubwa ya nishati mmbadala itakufa.

Huu ni uvumbuzi mtambuka wa kimageuzi ya nishati na teknolojia duniani.
 
Hata baada ya miaka 100 Afrika hatutayaweza hayo magari. Naona watu wana uza nyumba kubwa na kununua au kujenga ndogo kwa kushindwa kumudu gharama za maji na umeme, sasa magari ndio tutaweza ? hayo yataishia huko huko huku kwetu hayata fika.

Hata hao 1% ya watanzania wanaomiliki uchumi wa nchi hii sidhani kama na wao wanayahitaji?
🤔🤔🤔🔊
 
Matumizi ya mafuta haya epukiki, je unajua hayo mawimbi ya redio huzalishwa na oscillator ambayo huitaji electrical power ilikuzalishwa?,na baada ya hapo unajua kwamba Kuna amplifier ambayo pia huitaji electrical power ili ku amplify signal waves?,kipi chanzo chake?
🤔🤔🤔🔊
 
Hata baada ya miaka 100 Afrika hatutayaweza hayo magari. Naona watu wana uza nyumba kubwa na kununua au kujenga ndogo kwa kushindwa kumudu gharama za maji na umeme, sasa magari ndio tutaweza ? hayo yataishia huko huko huku kwetu hayata fika.

Hata hao 1% ya watanzania wanaomiliki uchumi wa nchi hii sidhani kama na wao wanayahitaji?
Ngoja tuone tukiletewa used for 15m to 30m kama sasa ....yaliyo mengi...nadhani tutanunuaaa....2030 huko kwenda mbele
 
Back
Top Bottom