Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Huyu mwamba Boniface Mwabukusi, Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake! Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli!
Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times!
Mbona tuna Wodi ya Mwaisela pale Muhimbili? Kuna ubaya gani tukiwa na Gati namba 1 la Mwabukusi pale Bandarini?
Wazalendo wenzangu naombeni maoni yetu kwenye hili. Wana CCM wenzangu kama kama akina Jerry Silaa na vilaza wengine please desist from giving your opinion on this!