Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Wewe ni mmoja wa vilaza wa CCM yetu! Hata desist hujui maana yake!hayo ni maoni yako, sisi tumeamua kuyaita magati ya sultan.
ovaa
Naunga mkono HOJA 🙏🙏Huyu mwamba Boniface Mwabukusi ,Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake!
Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli!
Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times!
Mbona tuna Wodi ya Mwaisela pale Muhimbili?!
Kuna ubaya gani tukiwa na Gati namba 1 la Mwabukusi pale Bandarini?
Wazalendo wenzangu naombeni maoni yetu kwenye hili.
Wana CCM wenzangu kama kama akina Jerry Silaa na vilaza wengine please desist from giving your opinion on this!
Wazo jema kabisa.Huyu mwamba Boniface Mwabukusi ,Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake!
Wachuuzi wa rasilimali zetu amewakaba koo kweli kweli!
Whatever the outcome ya High Court Judgement on 7/8 but the fact is clear that, Learned Counsel Boniface Mwabukusi is the hero of our times!
Mbona tuna Wodi ya Mwaisela pale Muhimbili?!
Kuna ubaya gani tukiwa na Gati namba 1 la Mwabukusi pale Bandarini?
Wazalendo wenzangu naombeni maoni yetu kwenye hili.
Wana CCM wenzangu kama kama akina Jerry Silaa na vilaza wengine please desist from giving your opinion on this!
wewe umetoa maoni yako na mimi nikatoa maoni yangu, kosa langu ni lipi hapo!Wewe ni mmoja wa vilaza wa CCM yetu! Hata desist hujui maana yake!
Ndo nyie mnatafsiriwa mkataba wa Bandari na Wassira na Sofia Mjema ( Mwenezi Taifa).
Bandari haijauzwa kwa kuwa haijawekwa kwenye Kiroba ( By Sofia Mjema - Mwenezi CCM Taifa).
Yes mwabukusi getiHuyu mwamba Boniface Mwabukusi ,Wakili Msomi ameonyesha uzalendo mkubwa sana kwa Nchi yake!