Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nasoma vichwa vya habari nakuangalia TV pamoja na kusikiliza radios; habari za Lissu wamezipotezea.
You know what Gona happen wanampa popularity kwa msingi ule ule kwamba ametengwa na muhimili wa nne. Uchaguzi 2020 vyombo vyote vilisusa lakini wananchi awakususa. Mpaka pale tutakapokubali kujenga Taifa lenye usawa Ndipo unafiki utakwisha na tutasonga mbele Kwa pamoja.
Wananchi ni wamoja na wanajadili Kwa umoja; viongozi siyo wamoja it seems maelekezo NI mengi Sana kwenye vyumba vya habari.
Hatuwezi kuzuia mijadala na mawazo kinzani kwa kusensa vyombo vya habari ; njia za mawasiliano zimekuwa nyingi Sana now days.
Vyombo vya habari mtazidi kudidimia kiuchumi Kwa Sababu hata matangazo ayawezi kupelekwa pasipo na wasikilizaji. You are loosing a lot, ombeni mpewe Uhuru wenu la sivyo sidhani kama tutakuwa na watangazaji au Wana habari wanaoweza kuvuka mipaka. Mtabaki Tanzania milele.
Angalieni vyombo vya habari hapo jirani Kenya , vinaripoti kila kitu na hakuna siku watawala wamewahi kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi. Raila anazunguka huku na Ruto anapita huku Bila kuzuia miradi ya maendeleo. Sisi kwetu tunaaminishwa kukaa kimya ndiyo kuleta maendeleo; legacy ya JPM inapata mtikisiko Kwa Sababu Tu aliamini Uhuru ukizidi hakutakuwa na maendeleo akaamini waliomzunguka wanaenjoy kumbe hata wao kawaweka vifungoni.
Same applies to this regime; wapo watu hawana Uhuru ila wanataka kuonyesha Wana Uhuru. Wapo watendaji wazuri wanataka kumsaidia Mhe Raisi Lakini wanakosa nguvu Kwa Sababu Tu hawana uhakika watafanywa nini baada ya kuonyesha talent zao.
RC and DCs are kimya not because they con not delivery; it's because they are not certain about what will happen to them as results of wonderfull performance.
Kila kiongozi anasubiri kustaafu au regime ipite Taifa lipatiwe Uhuru, viongozi waakikishiwe kwamba hakuna adhabu Kwa kufanya KAZI kumzidi bosi wako. Wote tunajenga nyumba moja; tufungue washindano ya utendaji.
Tuangalie Katiba mpya inayotoa Uhuru huu.