Magazeti nayo yanaanza kutukana kama Lusinde?

Haya magazeti ya akina Shafii Dauda ni matatizo matupu, kila kitu maigizo. Sasa hapo mhariri amejifanya katutega kwa kuficha neno KU la mwanzo na kuacha MA'MAKE. Kwa kuwa vyombo vya habari havina regulator acha tu watukane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…