Magazeti ucharwa Tanzania yagoma kuandika habari za Simba

Magazeti ucharwa Tanzania yagoma kuandika habari za Simba

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo VIP !
Aisee afrika kuna mambo meusi sanaa kama rangi za ngozi zao.

Leo tar.17.09.2026 katika kipindi cha uchambuzi wa magezeti,kurasaa za michezo kwa baadhi ya magazeti eti hawajaandika Habari za Simba wakati match ilitamatika tar.16 SAA 4 usiku.

Hii tabia inatafrisi Tabia za kichawi ambayo ngozi nyeusi inazaliwa nayo.Na hii ndio Tabia ya waafrika kupiga vita vitu vizuri,haya maisha ni nature Na nikanuni ya universe.Hauwez ukiwachukia kitu alafu eti upewe Na universe.

Waafrika ni jamiii masikini dunia kwasababu huwa hawana tabia yakuappreciate vitu vizuri wapo kwa ajili kukipinga Na kupiga vita.

Sasa IPO hivi,haya magezeti uchwara yanayoandaliwa Na watu weusi inamambo meusi..imagine club kubwa kama Simba Na kwenye match kubwa ya mzizima Darby eti inaacha kuandika Habari zake kwasababu ya vivu Na roho mbaya ya kiafrika.Timu inayowakilisha taifa kwenye mashindano ya kimataifa.

Haya magezeti ni mwanachx,nipashx n.k pia nawafahamisha kuwa wasipo andika Habari za Simba ni sawa na kujilisha upepo kwasababu hawawezi kuishusha Simba kwa ubora,kimafanikio au kuishusha nyota ya Simba.pia magezeti yao uchwara haiwezi kuzuiya Habari za Simba kwa kizazi hiki kwasababu kuanzia kizazi cha millennia, G-ezy n.k hawasomagi magezeti,hizo nyakati za magezeti zilishapitwa Na wakati

NB.Hizi vizazi vya technologia,Internet,social media Na digital hawanampango Na magazeti
 
Haya baadhi yaliyoandika habari za Simba yanatosha au mnataka Hadi gazeti la serikali liwaandike?? Baadae mkianza kupigwa lawama zote kwa MANGUNGU ila sasa hivi mnashinda mpo kimya mnamsifu MO
 
Upumbavu sana huu .... simba/yanga zinakupa ugali wako kwa siku ? Hio ni miradi ya watu wanaJipigia tu pesa .......majinga kama nyie mnashabikia tu na kupigwa hela zenu kizembe !!!
 
Wewe unaetaka magazeti yaandike unachotaka wewe ndio una ROHO NYEUSI.
simple miliki wewe gezeti ili uwe unaandika unachotaka wewe.
 
Hapo VIP !
Aisee afrika kuna mambo meusi sanaa kama rangi za ngozi zao.

Leo tar.17.09.2026 katika kipindi cha uchambuzi wa magezeti,kurasaa za michezo kwa baadhi ya magazeti eti hawajaandika Habari za Simba wakati match ilitamatika tar.16 SAA 4 usiku.

Hii tabia inatafrisi Tabia za kichawi ambayo ngozi nyeusi inazaliwa nayo.Na hii ndio Tabia ya waafrika kupiga vita vitu vizuri,haya maisha ni nature Na nikanuni ya universe.Hauwez ukiwachukia kitu alafu eti upewe Na universe.

Waafrika ni jamiii masikini dunia kwasababu huwa hawana tabia yakuappreciate vitu vizuri wapo kwa ajili kukipinga Na kupiga vita.

Sasa IPO hivi,haya magezeti uchwara yanayoandaliwa Na watu weusi inamambo meusi..imagine club kubwa kama Simba Na kwenye match kubwa ya mzizima Darby eti inaacha kuandika Habari zake kwasababu ya vivu Na roho mbaya ya kiafrika.Timu inayowakilisha taifa kwenye mashindano ya kimataifa.

Haya magezeti ni mwanachx,nipashx n.k pia nawafahamisha kuwa wasipo andika Habari za Simba ni sawa na kujilisha upepo kwasababu hawawezi kuishusha Simba kwa ubora,kimafanikio au kuishusha nyota ya Simba.pia magezeti yao uchwara yao haiwezi kuzuiya Habari za Simba kwa kizazi hiki kwasababu kuanzia kizazi cha millennia, G-ezy n.k hawasomagi magezeti,hizo nyakati za magezeti zilishapitwa Na wakati

NB.Hizi vizazi vya technologia,Internet,social media Na digital hawanampango Na magazeti
Magazeti ya kesho hupatikana kariakoo saa mbili usiku,saa sita usiku huwa yapo safarini mbeya,kuchapa kuna foleni kenge wewe,usidhani unaingia stationary na kuchapa gazeti kama pamphlet za nyambari nyangwine
 
Upumbavu sana huu .... simba/yanga zinakupa ugali wako kwa siku ? Hio ni miradi ya watu wanaJipigia tu pesa .......majinga kama nyie mnashabikia tu na kupigwa hela zenu kizembe !!!
Aisee fata mambo yako..huo ushauri kawape watoto wako.We uliyesereous Na maisha umegundua nini?au umefanya mini cha maana cha kuisaidia dunia..nonsense...huo usereous wako peleka kwenye maisha yako ***** wewe
 
Magazeti ya kesho hupatikana kariakoo saa mbili usiku,saa sita usiku huwa yapo safarini mbeya,kuchapa kuna foleni kenge wewe,usidhani unaingia stationary na kuchapa gazeti kama pamphlet za nyambari nyangwine
Hili wengi hawalifahamu. Lazima wafanye printing mapema ili wasafirishaji wayafikishe sehemu/mikoa husika mapema iwezekanavyo!
 
Magazeti ya kesho hupatikana kariakoo saa mbili usiku,saa sita usiku huwa yapo safarini mbeya,kuchapa kuna foleni kenge wewe,usidhani unaingia stationary na kuchapa gazeti kama pamphlet za nyambari nyangwine
We takxtaka nyeusi..sikia hii dunia sasa hivi IPO digitali Na sio analogia.....ndani ya dk 1 moja Habari imeenea dunia nzima..basis nyie bado mpo kwenye anaologia zama za Giza..alafu nenda kanunue azumaa utumie ndio uje utoe comments..usikute una UTI sugu iliyofika mpka kwenye. Ubongo
 
Mechi imeisha saa 3 usiku muda ambao magazeti tayari yameshachapwa. Unless kuwe na habari kubwa ndio wanaweza kuchelewa kuchapa (saa 5+).
Na endapo kuna habari nzito/kubwa sana ambayo inatarajiwa kuchelewa sana magazeti yanaweza kuchapa kawaida yakaenda mkoani then ikasubiriwa hiyo habari hata kama saa 10 usiku ikachapwa kwa soko la dar es salaam na mikoa ya jirani kama zbar,moro nk
Ndio maana almost Gazeti za leo zimeandika habari ya game ya Yanga ya juzi.
 
Back
Top Bottom