Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Tulia we muafrikaMangungu asiguswe. Maana hamchelewi
Magazeti ya kesho hupatikana kariakoo saa mbili usiku,saa sita usiku huwa yapo safarini mbeya,kuchapa kuna foleni kenge wewe,usidhani unaingia stationary na kuchapa gazeti kama pamphlet za nyambari nyangwineHapo VIP !
Aisee afrika kuna mambo meusi sanaa kama rangi za ngozi zao.
Leo tar.17.09.2026 katika kipindi cha uchambuzi wa magezeti,kurasaa za michezo kwa baadhi ya magazeti eti hawajaandika Habari za Simba wakati match ilitamatika tar.16 SAA 4 usiku.
Hii tabia inatafrisi Tabia za kichawi ambayo ngozi nyeusi inazaliwa nayo.Na hii ndio Tabia ya waafrika kupiga vita vitu vizuri,haya maisha ni nature Na nikanuni ya universe.Hauwez ukiwachukia kitu alafu eti upewe Na universe.
Waafrika ni jamiii masikini dunia kwasababu huwa hawana tabia yakuappreciate vitu vizuri wapo kwa ajili kukipinga Na kupiga vita.
Sasa IPO hivi,haya magezeti uchwara yanayoandaliwa Na watu weusi inamambo meusi..imagine club kubwa kama Simba Na kwenye match kubwa ya mzizima Darby eti inaacha kuandika Habari zake kwasababu ya vivu Na roho mbaya ya kiafrika.Timu inayowakilisha taifa kwenye mashindano ya kimataifa.
Haya magezeti ni mwanachx,nipashx n.k pia nawafahamisha kuwa wasipo andika Habari za Simba ni sawa na kujilisha upepo kwasababu hawawezi kuishusha Simba kwa ubora,kimafanikio au kuishusha nyota ya Simba.pia magezeti yao uchwara yao haiwezi kuzuiya Habari za Simba kwa kizazi hiki kwasababu kuanzia kizazi cha millennia, G-ezy n.k hawasomagi magezeti,hizo nyakati za magezeti zilishapitwa Na wakati
NB.Hizi vizazi vya technologia,Internet,social media Na digital hawanampango Na magazeti
Aisee fata mambo yako..huo ushauri kawape watoto wako.We uliyesereous Na maisha umegundua nini?au umefanya mini cha maana cha kuisaidia dunia..nonsense...huo usereous wako peleka kwenye maisha yako ***** weweUpumbavu sana huu .... simba/yanga zinakupa ugali wako kwa siku ? Hio ni miradi ya watu wanaJipigia tu pesa .......majinga kama nyie mnashabikia tu na kupigwa hela zenu kizembe !!!
Hili wengi hawalifahamu. Lazima wafanye printing mapema ili wasafirishaji wayafikishe sehemu/mikoa husika mapema iwezekanavyo!Magazeti ya kesho hupatikana kariakoo saa mbili usiku,saa sita usiku huwa yapo safarini mbeya,kuchapa kuna foleni kenge wewe,usidhani unaingia stationary na kuchapa gazeti kama pamphlet za nyambari nyangwine
We takxtaka nyeusi..sikia hii dunia sasa hivi IPO digitali Na sio analogia.....ndani ya dk 1 moja Habari imeenea dunia nzima..basis nyie bado mpo kwenye anaologia zama za Giza..alafu nenda kanunue azumaa utumie ndio uje utoe comments..usikute una UTI sugu iliyofika mpka kwenye. UbongoMagazeti ya kesho hupatikana kariakoo saa mbili usiku,saa sita usiku huwa yapo safarini mbeya,kuchapa kuna foleni kenge wewe,usidhani unaingia stationary na kuchapa gazeti kama pamphlet za nyambari nyangwine