Magazeti ya bongo bwana!

NYANGESON

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
34
Reaction score
9
Jana gazeti la mtanzania lilifanya baadhi ya watu kupoteza pesa zao kuperuz kwenye mitandao mbalimbal kwa kile kilichodaiwa kuandika SERIKALI YAMWAGA AJIRA KWA WALIMU basi wadau wengi waliangaika bila mafanikio.je kwanini gazeti hilo lilitoa taarifa pindi majina ya walimu hao bado kutolewa?ni changamoto kwa vyombo vyetu vya habari .
 

Sasa siye tujibu nini hapo? Kwanini usiulize hili kwa wahariri wa Gazeti la MTANZANIA?
 
Acha umbea na ushakunaku! Kwani ulilazimishwa kununua hilo gazeti? Au ndo walewale mnackilzia vichwa vya habari za magazeti kwenye redio tu? Mtu mzima hovyooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…