Magazeti ya Jumapili Asubuhi habari ni Yanga Yafa Kiume Algeria

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kwa hali ilivyo huko jamaa wamewapania sana Yanga, kiukweli kama yanga watafanya masihara watakufa zaidi ya bao 5, jamaa wamepania hasa, mwarabu ameshanusa nyuma ameona kutamu, hana jinsi kiukweli, lazima amwage vitu vya mtu jmoc.

Kilichobakia sasa hv ni magazeti kuandika tu Yanga yafa kiume.Hongereni sana kwa kufa kiume
 
Kufa kiume ni mtindo wa Simba Sports Chilabu..

Kaa kwa kutulia upokee Kombe Jpili[emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mvua yawaliza tena Yanga. [emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya maombi hayafiki hata juu ya bati.

Ahaaaaaa manara alisema kuna siku tanzania nzima itahamia dar kuipokea yanga. Ahaaaaaa ndo wakati wenyewe sasa watu mil 60 kuipokea yanga airport dar

Hivi tutaenea kweli?
 
yanga huwa hatufi kiume,tukifungwa tumefungwa fullstop
 
Kombe la walíofeli halina kufa kiume,huko ni kufa kikike...unacheza na vibonde tupu
Hii kauli yenu inahesabu siku, Yanga tayari imeweza shirikisho na Sasa hesabu zetu utopolo ni klabu bingwa Africa. Anzeni kutafuta jingine la kuiponda utopolo.
 
kufa kiume ni kwa wale wa upende ule

Wanachi hata wafungwe medali ni uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…