Mbona unashindwa kujibu hoja, kwani ni Marekani pekee ambayo imekuwa ikikinzana na UN, pale kwenye maslahi ya kidunia kama hili la North Korea, ndiyo ni lazima kuwe na msimamo wa kidunia, ila kama ni maslahi ya nchi moja moja au kundi la nchi kama vile NATO, au EU au hata EAC, sio lazima UN ishirikishwe, Marekani walihisi kwamba vitisho vya IRAQ vilihusu dunia nzima, ndiyo akaamua kuishirikisha UN, lakini Urusi na China walipopinga, akalitoa kwenye UN akaliingiza NATO, ambao walikubaliana kwa kuwa waliona ugaidi ni tishio zaidi kwa USA na ulaya kuliko kwa china na Urusi, kwani Urusi alipoamua kuemega jimbo la Cremia aliomba ruhusa ya UN?, au kwa sasa Urusi na Marekani huko Syria wameomba UN, Saudia Arabia na Iran huko Yemen wameomba UN?, China kuendeleza biashara na North Korea kinyume na maazimia ya UN unalizungumziaje?
Sio kila kitu uone Marekani ina mkono wake, mengine wala Marekani haihusiki ni sisi waafrika kuiona Marekani kama vile ni Mungu, kifupi waafrika tunaogopa kivuli cha Marekani kuliko ilivyo kawaida
Sent using
Jamii Forums mobile app