Magazeti ya kesho tarehe 08.01.2022

Magazeti ya kesho tarehe 08.01.2022

Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
Tanzania Leo na sahivi ni tarehe 8 kesho ndo itakuwa 9.. hiyo nchi uliyopo wewe magazeti yatakuja na vichwa hivi "pombe sio chai"
 
Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
1. Wanyoge out, Wahuni in

2. Watoto wa vigogo wazidi kupaa...ni Nape na Ridhiwani sasa

3. Mama aupiga mwingi mpaka autoa nje
 
Back
Top Bottom