The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Nape arudi alipotoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vichwa Gani Tena
Kesho Ni Tarehe 09.01.2022
Leo ni tarehe 8 bhana!Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
Wanajua wamekalia kuti kavu, ki msingi Patrobas alihamia Ccm sio kwa sababu anazipenda itikadi za Ccm ila kwa kuwa msukuma mwenzake alimhakikishia uteuzi.Hawa hawana kifront front.
Mayala akosa tena
😅😅😅Mayala akosa tena
Kigwangala aendelea na safari ya matumainiKutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
🤣🤣🤣🤣1. Wanyoge out, Wahuni in
2. Watoto wa vigogo wazidi kupaa...ni Nape na Ridhiwani sasa
3. Mama aupiga mwingi mpaka autoa nje
Una akili sema jina lako tu ndio Lina
Hayupo au unataka kunifurahisha?Hayupo Dotto James. Kasome mkeka wa makatibu wakuu.