Nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu.
Pia soma:
Pia soma:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magazeti yametishwanimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dk. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu.
nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dk. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu.
Halafu ule ujinga wa Jerry Silaa ndio umeripotiwa kwa nguvu sana !Nimesikia wamepewa maelekezo na Mfuko wa kusaidia uchumi wa vyombo vya habari
Umasikini ndio Silaha kubwa ya ccm
WAZIRI NAPE ATEUA TUME YA KUTATHMINI UCHUMI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI![]()
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nauye ametangaza tume ya watu tisa wakataofanya kazi ya Kutathimini hali ya uchumi katika vyombo vya habari nchini.
Waziri Nape ametangaza kamati hiyo leo tarehe 24 Januari 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimuagiza kushughulikia suala la uchumi kwenye vyombo vya habari.
"Tumekua na majadiliano na tumefikia maamuzi ya kuunda timu ambayo itakwenda kufanya kazi ya kutathmini hali ya uchumi wa vyombo vya habari na wanahabari, na kuleta mapendekezo" Amesema Waziri Nape
Mhe Nape amesema kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti wake atakuwa ni Mtendaji Mkuu Azam Media Group Ndg Tido Mhando huku katibu wa kamati hiyo akiwa ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg Gerson Msigwa.
Huku wajumbe wakiwa ni Bakari Machumu ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji MCL, Joyce Mhavile Mkurugenzi Mtendaji ITV na Redio One, Dkt Rose Reuben Mkurugenzi Mkuu TAMWA, Keneth Simbaya Mkurugenzi Mtendaji UTPC, Sebastian Maganga Mkuu wa Maudhui Clouds Media, Jacqueline Woiso Mkurugenzi Mtendaji Multichoice Tanzania na Richard Mwaikenda Mwandishi wa kujitegemea.
Hii kitu ndio imekwenda kuua kabisa uhuru wa vyombo vya habari, sijui kama kuna nchi yoyote duniani inavipa ruzuku vyombo vya habari maana vitashindwa kutekeleza majukumu yake matokeo yake ndiyo hayo PRESS ya kina Dk. Slaa na Mwabukusi imeshindwa kuandikwa magazetini.
WAZIRI NAPE ATEUA TUME YA KUTATHMINI UCHUMI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI
![]()
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nauye ametangaza tume ya watu tisa wakataofanya kazi ya Kutathimini hali ya uchumi katika vyombo vya habari nchini.
Waziri Nape ametangaza kamati hiyo leo tarehe 24 Januari 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma ambapo amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimuagiza kushughulikia suala la uchumi kwenye vyombo vya habari.
"Tumekua na majadiliano na tumefikia maamuzi ya kuunda timu ambayo itakwenda kufanya kazi ya kutathmini hali ya uchumi wa vyombo vya habari na wanahabari, na kuleta mapendekezo" Amesema Waziri Nape
Mhe Nape amesema kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti wake atakuwa ni Mtendaji Mkuu Azam Media Group Ndg Tido Mhando huku katibu wa kamati hiyo akiwa ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg Gerson Msigwa.
Huku wajumbe wakiwa ni Bakari Machumu ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji MCL, Joyce Mhavile Mkurugenzi Mtendaji ITV na Redio One, Dkt Rose Reuben Mkurugenzi Mkuu TAMWA, Keneth Simbaya Mkurugenzi Mtendaji UTPC, Sebastian Maganga Mkuu wa Maudhui Clouds Media, Jacqueline Woiso Mkurugenzi Mtendaji Multichoice Tanzania na Richard Mwaikenda Mwandishi wa kujitegemea.
Watakuja kuchapisha ni suala la muda tu.nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dk. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu.
naamini hivyo umma haujawahi kushindwaWatakuja kuchapisha ni suala la muda tu.
Hata hivyo habari zinasambaa kwa kasi kupitia soc ial media ..... Thank you to "WhatsApp".Magazeti yametishwa
Huu ulitakiwa kuwa mhimili unaojitegemea na kuuhoji serikali. Sawa na bunge, mahakama. Ila tupo bongo.nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dk. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu.
Magazeti ni kwa ajili ya umma siyo CCM.naamini hivyo umma haujawahi kushindwa
Hivi bado unasoma magazet??dawa ni kuanza kampeni ya kususia magazeti hii ndio dawa yao