kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Nani anasomaga tena magazeti miaka hii mkuu. Mi mara ya mwisho ni miaka 15Nimeangalia magazeti ya leo kurasa za mbele sijaiona taarifa ya press ya Dkt. Slaa na Wakili Mwabukusi aliyofanya jana anayefahamu kilichojicha nyuma atujulishe watanzania tufahamu.
Pia soma: