Magazeti Ya Tintin

Magazeti Ya Tintin

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Kama kuna mtu mwenye kuhitaji magazeti ya Tintin (soft copies), mimi ninayo yote, nimejitahidi kuyaweka hapa kwa kutumia zip bado file zimekataa... kwa kila mwenye kuyahitaji anaweza kuni PM.
 
Kama kuna mtu atahitaji anipatie tu email yake nitawatumia, kwa ufupi ninazo copy zote Including unpublished copies. Zipo kwenye format ya .pdf
 
uh my my...that is gr8 Capt Haddock
 
Kama kuna mtu mwenye kuhitaji magazeti ya Tintin (soft copies), mimi ninayo yote, nimejitahidi kuyaweka hapa kwa kutumia zip bado file zimekataa... kwa kila mwenye kuyahitaji anaweza kuni PM.

m-pm invisible atakusaidia kuweka
 
I have the movies (Cartoon version) but have no clue of how to distribute them kwa wale wanaotaka.
 
I have the movies (Cartoon version) but have no clue of how to distribute them kwa wale wanaotaka.
Hizo sidhani kama kuna huwezekano wa kuzihamisha, maana hata mimi ninazo ila nimeonelea bora kutuma soft copies ya magazeti maana kidogo hazina byte kubwa.
 
Asante sana for making it possible for us to take a trip down memory lane, it has been a looong while for some of us!
 
Back
Top Bottom