Na.nani bado anasoma magazeti ya kitanzania karne hii?Kichwa cha habari: Mama kawawashia moto mawaziri.
Moto wa mama sasa: Mawaziri wangu naomba hilo nalo mkaliangalie..[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2586228
kwani hizo betting company si matangazo? radio kuwa na miradi halali sio mbayaHawana matangazo ya biashara kwa sasa,njia nzuri waliyobuni ni kuanzisha kampuni za kubeti na Uchawa.
Unamkosea heshima, lazima utaje title yake,huyo anaitwa Chawa Lucas Mwashambwa.Nakala iende kwa cc Lucas mwashambwa
Fair enough mkuu nimekuelewaWengine bado hizo ndio source za uhakika