Magazeti yalivyo chawa wa Mama

Magazeti yalivyo chawa wa Mama

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Kichwa cha habari: Mama kawawashia moto mawaziri.

Moto wa mama sasa: Mawaziri wangu naomba hilo nalo mkaliangalie..[emoji23][emoji23][emoji23]

Screenshot_20230412-175108_Google.jpg
 
Hawana matangazo ya biashara kwa sasa,njia nzuri waliyobuni ni kuanzisha kampuni za kubeti na Uchawa.
 
Hawana matangazo ya biashara kwa sasa,njia nzuri waliyobuni ni kuanzisha kampuni za kubeti na Uchawa.
kwani hizo betting company si matangazo? radio kuwa na miradi halali sio mbaya
 
Back
Top Bottom