Magdalena Shauri Ashinda Medali ya Dhahabu, Shanghai, China

Magdalena Shauri Ashinda Medali ya Dhahabu, Shanghai, China

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
ed185594-b34f-44c6-a02b-e51def88d90c.jpeg
Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China.
IMG_9311.jpeg
Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za makampuni makubwa huko china.
 
Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China.
View attachment 2973867Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za makampuni makubwa huko china.
Dola 2000 tu? Mashindano ya kata nini?
 
Gharama zake nadhani zimezidi hiyo dollar 2000 hii si kama milioni 5 anyway ni mwanzo mzuri apambanie zile Boston marathon na London nasikia huwa zina jiwe la maana
NB
Magdalena ni mzuri sana
 
Hongera sana Magdalena kwa kuwagaraza Wakenya a Waethiopia kwenye hizo mbio na hivyo kujinyakulia medali ya dhahabu kwenye hayo mashindano ya Shanghai marathon.
 
Back
Top Bottom