Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Dola 2000 tu? Mashindano ya kata nini?Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China.
View attachment 2973867Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za makampuni makubwa huko china.
SafiNice
ni mama SAMIA makaveli..Utasikia pongezi na shukurani ziende kwa mama SULUHU 🤣
Mzuri wa sura au wa kukimbia kiongozi...?Gharama zake nadhani zimezidi hiyo dollar 2000 hii si kama milioni 5 anyway ni mwanzo mzuri apambanie zile Boston marathon na London nasikia huwa zina jiwe la maana
NB
Magdalena ni mzuri sana