Uteere
Member
- Apr 24, 2014
- 40
- 15
Habari
Mwanangu ana umri wa miezi mitatu na wiki tatu sasa. Nimepatwa wasiwasi kuona jino upande wa kushoto chini (gego). Imezoeleka Watoto kuota meno ya kwanza ambapo vijino vinajitokeza mbele (incisors) lakini hii ya gego (premolar) imenifanya nichukulie serias kidogo. Ningependa kujua kama inaweza kuwa na shida au la.
Naombeni ushauri