Magego kwa kichanga cha miezi 3

Magego kwa kichanga cha miezi 3

Uteere

Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
40
Reaction score
15
Habari
Mwanangu ana umri wa miezi mitatu na wiki tatu sasa. Nimepatwa wasiwasi kuona jino upande wa kushoto chini (gego). Imezoeleka Watoto kuota meno ya kwanza ambapo vijino vinajitokeza mbele (incisors) lakini hii ya gego (premolar) imenifanya nichukulie serias kidogo. Ningependa kujua kama inaweza kuwa na shida au la.
Naombeni ushauri
 
Hayo yatakuwa meno plastic huwa yanaumiza sana watoto homa na kuendesha mi naonaga watu huwapaka viksi fizi yanapotea
 
Meno plastic? Lakini yake ukimwekea kijiko unaskia kama jino la mtu mzima.
Na je viksi ni kitu gani?
 
Meno plastic? Lakini yake ukimwekea kijiko unaskia kama jino la mtu mzima.
Na je viksi ni kitu gani?
Kaulizie duka la dawa ipo ndogo sana Sema sikuhizi zimeadimika ile inasaidia sana kwenye familia yetu tumetumia hyo kwa watoto.
 
Kuota meno akiwa na miezi mitatu sio tatizo. Tatizo lipo kwenye je ni meno yapi yanaota!
Nashauri apelekwe hospitali. Kila la heri na mungu awatangulie.
 
Meno ya plastic hayo,kunadawa za kinyeji zinayapoteza
 
Meno plastic? Lakini yake ukimwekea kijiko unaskia kama jino la mtu mzima.
Na je viksi ni kitu gani?
hiyo hutokea kama ulikuwa mtumiaji wa dawa au njia mbalimbali za kuzuia uzazi na ukawa na mzio nazo lakini hukutilia maanani.MPELEKE HOSPITALI LAKINI YASING'OLEWE.MTOTO WA MDOGO WANGU ALIOTA MAGEGO 4KWA WAKATI MMOJA AKIWA NA UMRI WA MIEZI MI 3
 
Back
Top Bottom