Kaulizie duka la dawa ipo ndogo sana Sema sikuhizi zimeadimika ile inasaidia sana kwenye familia yetu tumetumia hyo kwa watoto.Meno plastic? Lakini yake ukimwekea kijiko unaskia kama jino la mtu mzima.
Na je viksi ni kitu gani?
Hivi mjomba wetu mpendwa ana miezi mingapi mkuu?[emoji1][emoji1][emoji1]Miez mitatu meno duuh
Viksi si ni dawa ya mafua inaingizwa puani?Kaulizie duka la dawa ipo ndogo sana Sema sikuhizi zimeadimika ile inasaidia sana kwenye familia yetu tumetumia hyo kwa watoto.
hakuna meno ya plasticHayo yatakuwa meno plastic huwa yanaumiza sana watoto homa na kuendesha mi naonaga watu huwapaka viksi fizi yanapotea
hiyo hutokea kama ulikuwa mtumiaji wa dawa au njia mbalimbali za kuzuia uzazi na ukawa na mzio nazo lakini hukutilia maanani.MPELEKE HOSPITALI LAKINI YASING'OLEWE.MTOTO WA MDOGO WANGU ALIOTA MAGEGO 4KWA WAKATI MMOJA AKIWA NA UMRI WA MIEZI MI 3Meno plastic? Lakini yake ukimwekea kijiko unaskia kama jino la mtu mzima.
Na je viksi ni kitu gani?
HAKUNA MENO YA PLASTIC PELEKA MTOTO HOSPITALI TENA HOSPITALI YA SERIKALI AU HOSPITALI KUBWA SIO DISPENSARI ZA.VICHOCHORONI!Meno plastic? Lakini yake ukimwekea kijiko unaskia kama jino la mtu mzima.
Na je viksi ni kitu gani?
Hupakwa kwenye fizi kwa kuzi massageViksi si ni dawa ya mafua inaingizwa puani?
Ila kuna nini maana hayo si halisi unafikiri watu huwa hawawpeleki hospital??HAKUNA MENO YA PLASTIC PELEKA MTOTO HOSPITALI TENA HISPITALI YA SERIKALI AU HOSPITALI KUBWA SIO DISPENSARI ZA.VICHOCHORONI!
Lakini ndo hiyo hiyo vix kingo?Hupakwa kwenye fizi kwa kuzi massage
Ndo hyo huwa ndogo kaduara zamani zilikuwa nyingi sikuhizi ni chache mnoLakini ndo hiyo hiyo vix kingo?
ni kuvimba kwa fizi tu hakuna meno ya plasticIla kuna nini maana hayo si halisi unafikiri watu huwa hawawpeleki hospital??