storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Wengine kumuweka konokono(yule asiye na jumba) kwenye chumvi, akiyayuka ule uji wake ananyweshwa mtoto... hutosikia akiumwa hadi anakua.Hayo yatakuwa meno plastic huwa yanaumiza sana watoto homa na kuendesha mi naonaga watu huwapaka viksi fizi yanapotea
Ni kweli hayo meno husumbua watoto wengi hata kwenda hospital wanakupa panadol. Kuna bibi anajua dawa za asili za watoto haugui hovyo sema sasa huwa tuna ignore.Wengine kumuweka konokono(yule asiye na jumba) kwenye chumvi, akiyayuka ule uji wake ananyweshwa mtoto... hutosikia akiumwa hadi anakua.
Natamani kupata contact za huyo bibi nami,watoto wanasumbuka sana hospitali masindano,madawa mpaka basi mimi nielekeze mkuuNi kweli hayo meno husumbua watoto wengi hata kwenda hospital wanakupa panadol. Kuna bibi anajua dawa za asili za watoto haugui hovyo sema sasa huwa tuna ignore.
Hebu acheni vituko jamani..Daah....karne hii ni ajabu sana kusikia mambo kama hayaWengine kumuweka konokono(yule asiye na jumba) kwenye chumvi, akiyayuka ule uji wake ananyweshwa mtoto... hutosikia akiumwa hadi anakua.
Bibi yuko kijijini huyo tulimprlekea mtoto alikuwa anasumbua mno afya yake akamtaftia dawa mtoto karudi normal walah, namwambiaga anifundishe sema kwenda kule kwa binde.Natamani kupata contact za huyo bibi nami,watoto wanasumbuka sana hospitali masindano,madawa mpaka basi mimi nielekeze mkuu