Nasikitika kusema kuwa hizi radio zina magenge ya hao eti wanaitwa watangazaji , lakini kinachochoendelea huko ni kichefuchefu tupu.
Asubuhi tu wakishaamka na kufika kwenye hayo magenge yao , utaskia 'Aloo vipi wewe ? umeoga kweli wewe ? Leo umelala wapi ? mbona unaonekana umechooooka sana ? au ulikuwa small house ?
Mwingine utamskia , eti leo nimekuja na kitu flani nataka tuzungumze ! basi hapo ataanzisha uzi na wenzake wataanza kubishana hapo zaidi hata ya saa na utashangaa hawa jamaa hivi wanaongea nini ? mara waitane , genious mara wataniane ili mradi muda unakwenda na matangazo yao lukuki ya kamari zisizoisha. Haya na hao sijui kina buburu kazi kusifia tajiri yao na wapambe wao ! na lugha zisizo staha.
Nimeandika waraka huu kuwasisitiza TCRA wahakikishe maudhui yote yanayotolewa na radio zetu yawe na mantiki na kama radio haiwezi basi waache kutangaza kwa sababu utanapotangaza watu wote wanasikiliza, wasikilizaji weng hawapendi upuuzi.Unakuta hayo magenge yanazungumzia mambo yao binafsi badala ya maambo yanayohusu jamii ! Radio inatakiwa iwe neutral sio kila dakika ohh mama nani sijui, ohh mara sijui mchafu kafanyaje ohh mara sujui kukoboa kafanyaje ili mradi tu uchawa chawa tunata.waache upuuzi.tunataka kusikiliza vitu vyenye mantiki na sio upuuzi .
Na hayo magenge kila dakika yanapiga kelele utadhani uko kilabu cha kimpumu ! wakijifanya kujua kila kitu kumbe si lolote si chochote ! Hasa huyo buburu ndo kabsaa ! na huyo wanamuita eti genious eti anajua kila kitu ! Ehh wajemeni kazi kweli kweli ! TCRA futeni leseni zao kama hamuwezi kuwa control watu hawa iko siku wataleta balaa nchini.Tujifunze kwa majirani