Bora umesema mkuu,hizi radio zimejaa watu wenye uelewa mdogo sana,Elimu ndogo,uelewa mdogo wa mambo ya Dunia,
Kuna siku radio wasafi waliongelea Swala la zuchu ku mblock rafiki yake wa kike kwenye Instagram,waliongelea utafikiri ni Swala la maana sana,mpaka ikabidi zuchu apigiwe cm,kuulizwa kurikoni!!
Sasa Hawa wwchambuzi wa mipiracndio wanakela balaa,wangekuwa wanazungumzia mpira kama sekta inayoweza kuzalisha pesa kibao,ingekuwa poa,wanazungumzia porojo tupu,zisizo na maana,yaani wabongo kwa kupenda vitu vyepesi,watu wnapoteza saa tstu kuzungumzia jinsi mchezaji alivyofunga gori!!
Kuna siku mtangazaji mmoja wa kike alikuwa anasimulia jinsi mdogo wake wa kike alivyofsulu masomo,jamaa moja likamuuliza huyo mdogo wako ana umri gani?mdada akajibu,li jamaa bila aibu Wala staha likasema"aaah huyo mkubwa anafaa kwa matumizi ya binadamu""imagine such a vulgar language!!