Magenge ya Radio FM (leo naanza na Radio Wachafu na Radio Mbinguni)

Kuna redio mbunge mabasi moro yaan kipindi cha michezo hakuna watangazaji pale. Just imagine mtangazaji kipindi cha michezo anampigia muuza mihogo wa mjini kumuuliza kuhusu wateja wake wa mihogo. Alafu hiyo mada ikachukua 1;30 hrs.
 
Kwangu radio Bora ni RFA mwanza na UFM Dar
 
Well Said.... , Ngoja tuwavumilie japo inakera jins wanavyo destroy generation.
 
juzi kati kila nikabidili station naona stori ndo hizo,nikamwabia mwanangu zima zima in nash mc voice.

Your browser is not able to play this audio.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmecheka sana,yani umepita mule mule dah
 
Yan na akili zangu hiz uniweke kusikiliza radio seriously???
Honestly nikikaa chini kusoma gazet la leo au kusikiliza radio basi 98% ya nitakayokutana nayo huko sio ageni...tayar nayajua au nimeshayasikia mpaka unajiuliza hiv hawa wana habar wa ki leo wamekutwa na mtatizo gani ya akili.?
Why dont they come with new issues?? Why dont tey dig deep?? Wana come up na very average matters ambazo every other person can find that piece of information.

And something worse, presenters cant even process matters katika kiwango cha kumshawish msikilizaji..wajinga kabisaa
Pascal Mayalla wasaidieni vijana
 
Aisee nimecheka sana,kuna mmoja alimwambia mwenzake, ‘mbona unanitizama sana?kama umenitamani nitakuchek tukitoka job’yaani ukisikiliza hizi radio mara kwa mara unaweza haribikiwa!Mi nasikiliza Radio Maria Tanzania tu kama ikibidi

kwamba waliahidiana kulana kimasihara hewani hahaha
 
Kuna redio mbunge mabasi moro yaan kipindi cha michezo hakuna watangazaji pale. Just imagine mtangazaji kipindi cha michezo anampigia muuza mihogo wa mjini kumuuliza kuhusu wateja wake wa mihogo. Alafu hiyo mada ikachukua 1;30 hrs.

na wewe ukakaa unasikiliza kwa lisaa limoja na nusu hadi mada ikaisha sio? au mi ndo sijaelewa, inaonekana ulivutiwa.
 
kill fm mosh kilimanjaro ni balaaa
 
Tedio freeAfrica kipindi cha bonanza na asubuhi kwenye magazeti kuna jamaa kama shoga anaitwa Kitolori na pía jioni kuna kipindi kina mtangazaji ni mlevi kabisa.
 

Ukiongeza na kifo cha Ruge muongoza njia lazima wapotee.
 
Ni sahihi kbsa ndugu yangu
 
Nilifikiliaga ni mimi peke angu huwa naboreka kusikiliza redio kutokana na watangazaji kusifia tu mabosi hamna wabacho ongelea ila ni story zinazo wahusu wao tu hata redio kuita chombo cha habari uongoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…