Magereza Tanzania Corona wamejipangaje?

Kuna options mbili tu za kuwaokoa walioko magerezani kuachiwa au kuuwawa
 
Waachiwe waje wasumbue mtaani kama wale wachache tu waliopewa msamaha na magu walitikisa mitaa ile wiki acha tu[emoji28] kuna watu wengine wana nyota ya kukaa jela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Asimame Atuokoe Na Haya Maradhi
 
Hivi vyombo vya dola vinavyopambana na kuonea wapinzani kila siku hawawezi kupambana na corona ikaisha fasta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…