Magereza Tanzania Corona wamejipangaje?

Magereza Tanzania Corona wamejipangaje?

Waachiwe waje wasumbue mtaani kama wale wachache tu waliopewa msamaha na magu walitikisa mitaa ile wiki acha tu[emoji28] kuna watu wengine wana nyota ya kukaa jela tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Asimame Atuokoe Na Haya Maradhi
 
Hivi vyombo vya dola vinavyopambana na kuonea wapinzani kila siku hawawezi kupambana na corona ikaisha fasta?
 
Hawa magereza, wamejipangaje?

Maana pale tuna askari wetu waliobobea kuvunja mikono ya dada zetu na mama zetu, tusije wapoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo magereza pekee. Tumrudie Mungu wetu atuepushe na hii ghadhabu ya huu ugonjwa kwa binadamu.
IMG-20200317-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom