Magereza yenye sifa mbaya zaidi duniani

Magereza yenye sifa mbaya zaidi duniani

Naunga mkono hoja. Kuna watu wanakwenda jela kwa makosa madogo sana kama matusi na kunywa pombe saa za kazi.
Ni kweli kabisa si vizuri kuwashililia watu kwenye magereza wenye makosa madogo madogo hao wangeweza kufanya kazi za kijamii zikiwemo za kufagia mitaa na kuzibua mitaro ya chamber ambazo zinaziba na kusababisha maji kutiririka ovyo mitaani.Kazi ya kuwalisha wafungwa ni costive sana licha ya kuna mtu alishauri wafanyishwe kazi usiku na mchana na wakitembezewa mateke
 
Mimi nafikiri tulekebishe Sheria zetu sio kila kosa mtu aende jela tuwape kazi za kijamii kwenye miradi ili kupunguza gharama kwa serikali ya kuwatunza na kulipa vibarua kwenye miradi

Sheria hiyo ya wafungwa kuhudumia jamii ipo na inafanya kazi Tanzania. Inaangalia kosa na kifungo kisichozidi miaka 3. Kuna mambo yanayoangaliwa ili mfungwa apewe kifungo cha nje kwa kitumikia jamii kwa kufanya kazi katika taasisi za umma. “Community Service Act no. 6 ya 2002”
 
Hilo gitarama ni zaidi ya jehanamu...
Ndio maana hawa UN sijui haki za binadamu mi nawaonaga nao wa michongo tu mbwa hawa..
Gereza gani hakuna chakula mpaka watu wanakula wenzao????
 
Hilo gitarama ni zaidi ya jehanamu...
Ndio maana hawa UN sijui haki za binadamu mi nawaonaga nao wa michongo tu mbwa hawa..
Gereza gani hakuna chakula mpaka watu wanakula wenzao????
Pale hapafai kabisa... yaani kama sio Duniani vile. Nikipata muda nitaendeleza huu uzi maana yapo mengine kadhaa ambayo sijayataja hapa kama vile Gereza la Carandilu huko Brazil na Penal de Ciudad Barrios huko El Salvador.

(Picha; Gitarama Prison)

images-3.jpg
View attachment 2065384

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kabisa si vizuri kuwashililia watu kwenye magereza wenye makosa madogo madogo hao wangeweza kufanya kazi za kijamii zikiwemo za kufagia mitaa na kuzibua mitaro ya chamber ambazo zinaziba na kusababisha maji kutiririka ovyo mitaani.Kazi ya kuwalisha wafungwa ni costive sana licha ya kuna mtu alishauri wafanyishwe kazi usiku na mchana na wakitembezewa mateke
Ashukuru hayupo,yangemkuta nae ya kuishi jela.
Ukiwa huru boresha maisha ya jela Ili ukiwa mfungwa ikufae jela.
Tetea sheria kandamizi ukiwa huru Ili siku ukiwa mfungwa zikufae
 
Back
Top Bottom