Magereza yenye sifa mbaya zaidi duniani

Mzee baba late Pombe alikuwa na kutoa wazo hili hatujui wapi watekelezaji waliishia.

Sheria ipo ya wafungwa wenye sifa kuhudumia jamii na inatekelezwa
 
Go and watch “Inside the world’s toughest prisons”
Cast: Paul Connolly, Raphael Rowe
 
Hilo la Venezuela kiboko
Ila hawana tofauti na njaa za Africa
Yaani wanashindwa kuongeza ukubwa wa jela
Sawa hao ni wahalifu lakini hawana haki tena?

Jela inachukua 700 wao wanajazwa 3700
 
Uzi bila picha Ni tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…