Na hakuna anayejali. Kuna moments bila ya kuzipitia unakuwa hujui pains zake once unapokuwa victim you start to realize that hell is empty all devil's are here.Magereza yamekua kama kuzimu kazi ngumu hamna vitendea kazi Magereza ya Kilimo kazi na adhabu zinatisha chakula ni mara moja kwa siku Magereza kama Kitai...
Huko US na other western nations, magereza sio sehem ya hovyo. Kufungwa itoshe kuwa ni adhabu. Hizi kazi za sulubu na uchafu, sio busaraKama hujui, mfumo wa magereza huko US hutumika kama mbadala wa ‘SLAVERY’ ambayo ilishapigwa stop mwaka 1898. Prisons ni mfumo mbadala wa kufaidi jasho la mtu bila kumlipa...
hell is empty all devil's are here.
It's time waruhusu jamaa wa wafungwa wawapelekee magodoro maana wao wameshindwa kuwahudumia. Ustaarabu wa jamii hupimwa kwa kuangalia ni namna gani wanahudumia wale ambao ni most vulnerableMagereza yamekua kama kuzimu kazi ngumu hamna vitendea kazi Magereza ya Kilimo kazi na adhabu zinatisha chakula ni mara moja kwa siku Magereza kama Kitai...
Hali inatisha! Hata kama wako pale kutumikia adhabu lakini ni familia yako pia, kuna msemo kwamba wanakula bure mimi napinga, wanalima, wanatengeneza fanicha! Wanaingiza pesa! Kwanini wasinunuliwe vijigodoro vile vidogo kila mfungwa akalala peke yake?
Kwanini godoro moja walale wanne mpaka nane na wakiwa bila nguo? Kwani wakipewa vigogoro hawatakuwa gerezani? Kama serikali haiwezi, iruhusu watu binafsi wenye uwezo wasaidie magereza!
Hii kulala Pamoja Bila Nguo si Watapigana Sana Pipe JamaHali inatisha! Hata kama wako pale kutumikia adhabu lakini ni familia yako pia, kuna msemo kwamba wanakula bure mimi napinga, wanalima, wanatengeneza fanicha! Wanaingiza pesa! Kwanini wasinunuliwe vijigodoro vile vidogo kila mfungwa akalala peke yake?
Kwanini godoro moja walale wanne mpaka nane na wakiwa bila nguo? Kwani wakipewa vigogoro hawatakuwa gerezani? Kama serikali haiwezi, iruhusu watu binafsi wenye uwezo wasaidie magereza!
Kwanini mahabusu hawafanyi kazi? Kufanya kazi siyo adhabu ni wajibu, mbona huku uraiani tunafanya kazi kulima, kufuga, ujenzi, kuponda kokoto na tunapata pesa kusaidia familia zetu nk, siyo adhabu.Magereza yote makubwa yapo na Idadi 60% mahubusu na kesi ya mauaji ndo nyingi
Endapo Serikali ingeweka mipango madhubuti ya kuhakikisha inapunguza idadi ya mahubusu ili Chakula wanacholima kiwatoshe wafungwa wore na mahubusu wachache
Tumia akili kuandikaKwanini mahabusu hawafanyi kazi? Kufanya kazi siyo adhabu ni wajibu, mbona huku uraiani tunafanya kazi kulima, kufuga, ujenzi, kuponda kokoto na tunapata pesa kusaidia familia zetu nk, siyo adhabu.
Kwanini mahabusu hawafanyi kazi? Kufanya kazi siyo adhabu ni wajibu, mbona huku uraiani tunafanya kazi kulima, kufuga, ujenzi, kuponda kokoto na tunapata pesa kusaidia familia zetu nk, siyo adhabu.
Mama aliposhauriwa aachie baadhi ya wafungwa alisema nguvu kazi itapungua sababu dhaifu kabisa pia inashauriwa wajenge zaidi makambi na sio ngome ushauri ambao haujafanyiwa kazi kabisa Magereza ya Tanzania ni bora ufe ndio maana baadhi ya wafungwa wanatoroka ili wapigwe risasi wafe waondokane na matesoNa hakuna anayejali. Kuna moments bila ya kuzipitia unakuwa hujui pains zake once unapokuwa victim you start to realize that hell is empty all devil's are here.