nyambaya kurwaki
Senior Member
- Apr 8, 2020
- 133
- 155
Duh kaibuka
Ova
Sio wa kununulia kipande cha khanga na chumviMajimbo yoooote huko ameacha hadi kuja kuliona jimbo la Kibamba? Anacheza huyo, hajui wanaoishi kibamba, wale sio wa kudanganywa.
Haha huyo muhuni jina lake linakatwa kabla hata kikao hakijaanza.
Anasema ameomba msamaha kwa barua labda atasamehewa.
🤣 alikimbizwa kama mbwa kokoHuyu hatakaa aisahau Arusha chini ya mbunge Lema
Mulongo alikuwa anaongea kwa Nyodo sana!! Anazijua K tatu? Kugombea ni haki yake ila Kuchaguliwa sio Kazi yake!!
[emoji1787] alikimbizwa kama mbwa koko
Mkuu mbona ilitangazwa kafariki ? Watu waliamua kumzushia tu daaAnadai alikuwa akinyanyapaliwa kupewa kazi. Coz kila wakimuangalia wanaona cheo alichofikia wanaogopa kumpa kazi.
Mbaya Sana kuanzia juu then ukashuka.
2020
GPA ngapi muzee?East African,
Jamaa Anafaa Sana. Naamini baada ya kuomba msamaha, huu utakuwa wakati wake wakuitendea haki elimu yake (ana Masters Degree Kali sana).
Hata wewe hujakatazwaKila mtu anataka kuwa Mbunge! Kunani Mjengoni?
Yaani nimechela kweli bora angetafuta hata mikoani kuliko jimbo la kibamba, uku hautushawishi kwa kanga na vitengeMajimbo yoooote huko ameacha hadi kuja kuliona jimbo la Kibamba? Anacheza huyo, hajui wanaoishi kibamba, wale sio wa kudanganywa.
Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi FM Leo tarehe 8 July 2020.
Aliyekuwa mkuu wa mikoa ya Arusha, Mwanza na Mara ametangaza nia ya kuwania Ubunge jimbo la Kibamba ambapo yeye kwa sasa anaishi jimbo hilo eneo la Malamba mawili.
Pia amekiri kufanya kosa lililosababisha kutumbuliwa na kuwaonya vijana wengine wasirudie makosa aliyofanya yeye, Amesema Rais anajua alikosea nn lakini na yeye pia anafahamu alichokosea lakini hakuweza kubainisha kosa lenyewe.
Amesema jambo zuri ni kuomba msamaha pale unapoona umekosea.
Kila mtu anataka kuwa Mbunge! Kunani Mjengoni?