Uchaguzi 2020 Magesa Mulongo atangaza nia Kibamba

Uchaguzi 2020 Magesa Mulongo atangaza nia Kibamba

Anadai alikuwa akinyanyapaliwa kupewa kazi. Coz kila wakimuangalia wanaona cheo alichofikia wanaogopa kumpa kazi.
Mbaya Sana kuanzia juu then ukashuka.

2020
 
Anadai alikuwa akinyanyapaliwa kupewa kazi. Coz kila wakimuangalia wanaona cheo alichofikia wanaogopa kumpa kazi.
Mbaya Sana kuanzia juu then ukashuka.

2020
 
Mbona nilisikiaga amefariki
Kumbe yupo hai aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha
 
Majimbo yoooote huko ameacha hadi kuja kuliona jimbo la Kibamba? Anacheza huyo, hajui wanaoishi kibamba, wale sio wa kudanganywa.
Yaani nimechela kweli bora angetafuta hata mikoani kuliko jimbo la kibamba, uku hautushawishi kwa kanga na vitenge
 
Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi FM Leo tarehe 8 July 2020.

Aliyekuwa mkuu wa mikoa ya Arusha, Mwanza na Mara ametangaza nia ya kuwania Ubunge jimbo la Kibamba ambapo yeye kwa sasa anaishi jimbo hilo eneo la Malamba mawili.

Pia amekiri kufanya kosa lililosababisha kutumbuliwa na kuwaonya vijana wengine wasirudie makosa aliyofanya yeye, Amesema Rais anajua alikosea nn lakini na yeye pia anafahamu alichokosea lakini hakuweza kubainisha kosa lenyewe.

Amesema jambo zuri ni kuomba msamaha pale unapoona umekosea.


Huyu mshamba alikuwa na nyodo za kipuuzi alipokuwa na madaraka, ila saa hii kawa mpole tu.
 
Write your reply...hio nyau haifai kuwa hata balozi wa nyumba 10...

achilia mbali kuwa baba wa familia

hio jamaa lina nyodo mno,kanga moja cha mdoli
 
Back
Top Bottom