Uchaguzi 2020 Magesa Mulongo atangaza nia Kibamba

Uchaguzi 2020 Magesa Mulongo atangaza nia Kibamba

Na huku kilolo
stev.jpeg
 
Ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa na Wasafi FM Leo tarehe 8 July 2020.

Aliyekuwa mkuu wa mikoa ya Arusha, Mwanza na Mara ametangaza nia ya kuwania Ubunge jimbo la Kibamba ambapo yeye kwa sasa anaishi jimbo hilo eneo la Malamba mawili.

Pia amekiri kufanya kosa lililosababisha kutumbuliwa na kuwaonya vijana wengine wasirudie makosa aliyofanya yeye, Amesema Rais anajua alikosea nn lakini na yeye pia anafahamu alichokosea lakini hakuweza kubainisha kosa lenyewe.

Amesema jambo zuri ni kuomba msamaha pale unapoona umekosea.

This guy deserves to be in jail
 
Huyu sio yule aliekuwa anatembea amezungukwa na kundi la mabodigadi au?
 
Kaingia Class, kawa na Akili Pana ukilinganisha na hapo awali, hivyo ni wakati sahihi wa yeye kupata nafasi ili atumie vizuri hii elimu aliyeipata
Haina tofauti na ile Phd ya Jiwe
 
Back
Top Bottom