Magesa Protas katibu wa zamani TCS wilaya ya Bunda anastahili unaibu katibu mkuu CWT walimu ngazi ya taifa

Magesa Protas katibu wa zamani TCS wilaya ya Bunda anastahili unaibu katibu mkuu CWT walimu ngazi ya taifa

Tutu kalundji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
532
Reaction score
1,287
Protas Magesa Katibu wa zamani TSC (Teachers Service Commission)wilaya ya Bunda anatajwa na wajumbe wengi kama kiongozi anayestahili kuwa naibu Katibu mkuu CWT.

Hakika kwa walimu huyu mtu anastahili kuwa naibu Katibu mkuu ngazi ya Taifa.Wajumbe wa mkutano mkuu msitangulize waganga njaa,huyu mtu anastahili.

Wajumbe angalieni maslahi ya walimu walio wengi badala ya kutanguliza maslahi binafsi
 

Attachments

  • FB_IMG_1749371470129_113135.jpg
    FB_IMG_1749371470129_113135.jpg
    27.7 KB · Views: 40
  • FB_IMG_1749355809342_112859.jpg
    FB_IMG_1749355809342_112859.jpg
    62.1 KB · Views: 36
Back
Top Bottom