Mageuzi anayofanya Rais Samia Suluhu kwenye kilimo hayakuwahi kutokea


Hizo sera ni zipi mpaka tuunge mkono? Mie naishi kijijini ambako maisha yetu yanategemea kilimo. Kilimi cheti hapa kiko vile vile zaidi ya miaka 20 iliyopita. Hizo sera ambazo haziwafikii watu kama sisi vijijini ili kukifanya kilimo kiwe na tija zinaishia mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…