Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA
Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja:
''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada ya Ualimu wa Historia mwaka huu amenipa habari njema kwamba habari za Abdulwahid Sykes na wazee wengine wa Kiislamu zimeandikwa kwenye vitabu vipya vya kiada vya historia vitakavyokuwa vinatumiwa kufundishia mashuleni kwa mujibu wa mtaala mpya.
Uzuri ni kuwa hiki ni kitabu cha kiada hivyo mwalimu ili afundishe hii mada kwa upana na maswali yake lazima atafute ''valid source,'' ndipo hapa Mzee wetu Mohamed Said atakapotukuzwa kwa kazi yake adhwimu sana ''trust'' hii mada ikiwekwa mpaka Form Four Mzee uandishi wake hautapotea bure ''save this'':