SoC04 Mageuzi ya mifumo ya Elimu tuondokane na unyonyaji kwa wakulima

SoC04 Mageuzi ya mifumo ya Elimu tuondokane na unyonyaji kwa wakulima

Tanzania Tuitakayo competition threads

EDIGAR JO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2024
Posts
422
Reaction score
444
Inafahamika ni gharama sana kwa sisi kuanzisha mitaala yetu ,lakini ni dhahiri na ni wazi kuwa tutakapo iianzisha na kuisimamia itakuwa ni yenye Tija.

Tuanze na
★★Elimu ya Sekondari ya juu yaani kidato cha tano na sita.
Wazazi ambao wengi ni wakulima hipa ada.
Vijana hao wakifauru huendelea kulipiwa ada ambayo ni mikopo kutoka serikalini lakini hiyo ni kalo ya Mkulima.
★★Ajira:Vina hao wakimaliza masomo yao ya chuoni mara nyingi ilivyobahati kwa wengine huajiriwa na kuanza kulipwa mshahara ambao pina ni fedha ya MKULIMA.

Tunajifunza kitu hapa TANZANIA yetu inakosa kuwa na vyanzo vizuri vya mapato na kushindwa kutumia ujuzi wa watu wake ipasavyo kwa madai ya kuwa WAKULA hawa wakisaidiwa tutakula na kusasa na kisha hakiba itabaki.

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★FUNZO ★★★★★★★★★★★★
Nilipata funzo hili kutokana na mafunzo ya JKT 835 ,Tanga mnamo mwaka wa 2022 majibu wa sheria.
Tulikula chakula tulicholima sisi ,tulijenga ofisi sisi wenyewe hata barabara tulichonga kwa mikono yetu ingawa haikuwa rahisi ,lakini tuliweza kwa Nguvu za mwenyezi Mungu na za kamanda kikosi
Lieutenant colnel Agrey Mwandi.

Kumbe"
Qn.... kama Jeshi letu linaweza kujihudumia Kwanini tusifanye mfumo wetu wa Elimu uihudumie Tanzania?"
Nadhani Serikali ifanye jambo moja kwenye haya yafuatayo kwaajili ya maendeleo;

1: Utumie mitaala hii lakini ifanye kuwa yenye tija.

★Ibadili astashahada zote za uhandisi ziwe za vitendo mikakati,yaani kama ni
-Uhandisi wa kielektroniki wapewe kazi za kulekebisha vifaa na utengenezaji mithambo kwaajili ya maendeleo ya tekinolojia .Kwa kufanya hivi Serikali inaweza kusuasua kwa miaka miwili tu kwa kitendo cha kuwaleta Waalimu wezeshi na vifaa wezeshi kutoka nje baada ya hapo wanafunzi hao Naamini watakuwa na uwezo wa kujilipia ada wao binafsi kutokana na tenda watakazopewa na makampuni ,watu hata Serikali kwani hakuna mfanya biashara ambaye hatawaza kuweka hisa zake .Baada ya hapo wanafunzi wakiwa mashuleni watajitahidi kuvitafuta vipawa vyao mapema maana watajua chuoni sio lelemama.

Kama Serikali itafanya hivyo kwa Wahandisi wote itanufaika na mambo haya ;Kuondokana na malimbikizo ya mikopo kwaajili ya elimu ya juu hususa wahandisi,pili;itaondokana na atha ya kuagiza bidhaa ughaibuni padina ulazima wowote Kwakuwa Wahandisi wote watakuwa wamemaliza mambo yao.Tatu ,na kubwa kuliko itapunguza UKOSEFU wa ajira kwa asilimia 50 kutoka hapa tulipo.

2; Kuondoa mfumo wote ambao unaonekana ni kandamizi kwa maendeleo ya Taifa letu.
Tunaendelea★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
 
Upvote 1
Tunasubiri muendelezo......


Kumuwezesha mzalishaji kuipata thamani halisi ya jasho lake kutainua hali ya kimaisha kiusahihi kabisa.

NA kwa kuwa thamani ni linganifu, kuna haja ya kuangalia namna ya kudhibiti mapato kwa watu binafsi yasiyitokana na shughuli za uzalishaji mali au utoaji huduma. Mfano mkulima akiuza gunia lake laki tatu baada ya jasho kumvuja hatuna hakika kama ina thamani au la. Tutalinganisha na aliyebeti akapata laki tatu au aliyekaa kikao akapata posho laki tatu tutasema wanalingana. Ila ukitazama juhudi utasema mkulima kapunjwa na ukulima utakuwa hauna thamani tena.

Kuongeza thamani kwa mkulima kunaendana pia na kudhibiti mapato yawe halali. Anayeipatia jamii thamani anastahili pesa ndefu na si vinginevyo. Kudhibiti ufisadi na ukwepa kodi kulileta matokeo kwa 'wanyonge' kwa sababu hiyo.
 
Kuondolewa kwa mifumo kandamizi namaanisha kuwa mfumo wa elimu tulo nao ni unatuweka Wasomi wengi katika kusimamia mali na rasilimali za wahenga na wageni .
Kwakuwa Mhandisi anasubiri ajira na hata akiajiriwa bado haionekani nguvu ya mhandisi wa kitabzania kutokana na kwamba vitu vyote sio vyetu yeye anafuata maelekezo tu.
Siku moja natamani nije kuona Wahandisi wetu wanashirikiana katika kulijenga taifa .
Sidhani kama malighafi za kuanzisha viwanda ni Adamu kwetu pia sidhani kama Wahandisi wetu ni dhaifu na hawana fikra kiasi cha kusema kila kitu kiwe cha wazungu.
Basi yote haya yakifanyika mzigo wa tozo kwa wakulima itabaki ni hadidhi tu maana watakatwa padogo linganishwa na sasa na taifa litaweza kusimama padina msaada maana nasi tutauza bifhaa zetu na kuwa na wataalam walio na vyeti na weledi wa kutodha
 
Back
Top Bottom