Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kuna wajinga wanawapa promo Iran, Hezbu na Hamas hawajui hesabu zilivyo. Mrusi kushikiliwa Ukraine na Mchina kuwekewa mtego wa Taiwan. Ni hesabu kali mno.Magharibi wako mbali sana kimahesabu.
Westerners ni nyoko. Naona mahesabu yao ni Far East akiwemo Putin, Jon Jun, na wapuuzi wengine wasiojali haki za binadamu.
Saudia Yeye hana cha kusema, UAE ni centre ya Uchumi kwa Westerners so hapo ni kama Nyumbani tu. Hawapagusi.
Unajiona umepost kitu cha maana sana si bora utulie usome comment za wenzakoMagharibi wako mbali sana kimahesabu.