Magharibi wakimalizana na Middle East, Far East wajiandae

Magharibi wakimalizana na Middle East, Far East wajiandae

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Magharibi wako mbali sana kimahesabu.

Westerners ni nyoko. Naona mahesabu yao ni Far East akiwemo Putin, Jon Jun, na wapuuzi wengine wasiojali haki za binadamu.

Saudia Yeye hana cha kusema, UAE ni centre ya Uchumi kwa Westerners so hapo ni kama Nyumbani tu. Hawapagusi.
 
Kuna wajinga wanawapa promo Iran, Hezbu na Hamas hawajui hesabu zilivyo. Mrusi kushikiliwa Ukraine na Mchina kuwekewa mtego wa Taiwan. Ni hesabu kali mno.

Mtu pekee anaewasumbua ni mapanki wa Korea kaskazini ila na yeye watamnyoosha kwa vikwazo.

Haya ni masuala ya kutimizwa kwa nyakati yameandikwa kwenye Biblia takatifu. Lazima tawala za kiarabu na mashariki zisalim amri ili sasa mnyama mfano wa mwanakondoo atawale kwa muda kabla ya kumpa nguvu mnyama anene mambo ya makufukuru na machukizo. Linaloamriwa toka DC au Rome limekuwa.

Mfano, maamuzi ya kubariki ndoa za jinsia moja nani anaendelea kupiga kelele? Taratibu inazoeleka na kuingia akiloni. Watoto na wajukuu wataikuta na kuona ni kawaida tu lilikuwepo toka enzi za mababu. Shiit.

Iran ndiye mlengwa
 
Jon jun ni Broo wako?anaongoza nchi gani?
 
Magharibi wako mbali sana kimahesabu.

Westerners ni nyoko. Naona mahesabu yao ni Far East akiwemo Putin, Jon Jun, na wapuuzi wengine wasiojali haki za binadamu.

Saudia Yeye hana cha kusema, UAE ni centre ya Uchumi kwa Westerners so hapo ni kama Nyumbani tu. Hawapagusi.
Unajiona umepost kitu cha maana sana si bora utulie usome comment za wenzako
 
Back
Top Bottom