Maghorofa 64 hatarini kuanguka Kariakoo


Commercial set up zote, zilindwe kisheria na ujenzi wake usiwe tu wa class kubwa zenye janja janja.
Lazima team ziwe na competent people who will deliver.
Pengine hii report ilifanyiwa kazi, ila ngoja tuone tunaposimama leo baada ya kupita miaka 10.
 
Muda huu hapa kariaakoo mh rais kagusia ripoti hii..
Ahsante mama ifanyiwe kazi sasa.
 
Tuseme ukiingia ghorofa lolote kariakoo, utakapotoka ndio ujue upo salama. Hakikisha simu yako imejaa charge.
 
Muda huu hapa kariaakoo mh rais kagusia ripoti hii..
Ahsante mama ifanyiwe kazi sasa.
Wengi hamkumuelewa alipoigusia hiyo ripoti.
Hapo alikuwa anawakumbusha wafanyabiashara na wamiliki kukichangia Chama kama ilivyo kwenye makubaliano ya kutoyabomoa maghorofa hayo.
Inaaonekana wengi walijisahau au waliamua kuwa wakaidi, hivyo alichokifanya mheshimiwa rais ni kuwakumbusha kwamba ile list bado ipo na imeongezeka zaidi sababu wanawajua wote waliojenga chini ya viwango.
Hivyo ilikuwa ni kuwakumbusha wajibu wao kwa Chama kuhakikisha kina hela na kinashinda hasa kipindi hiki mnapoelekea kwenye uchaguzi mkuu.

System inapokupendelea kuwa makini, wakati wewe unajiona umeiweka mfukoni, wao lengo lao ni kukutia ubovu, kukupaka madoa, kukudhoofisha ili baadaye waje kuku blackmail.
 
November 2013 ikapita.

November 2024 ikapita.

Ikatolewa order ripoti ya 2024 iandikwe hatujui hadi sasa iko wapi.

Nayo itapita tena hadi jengo lingine lidondoke na kuleta maafa ndio wataibuka kujidai wameumizwa.

Watajidai kutoa michango kugharamia majeruhi na waliofariki na kutoa mahitaji ya kijamii.

Mwezi wa 3 sasa kimya kama halikutokea janga kubwa tu.

Halafu itapita tena.
 
Tatizo njaaa ndo zimekithiri kwa wabongo maaana kama n miezi mi3 imepita na bado wamiliki wa majengo hawana time ya kifanyia tathmini majengo yao tutakufa2 maaana Hawa wamiliki wapo na jambo moja2 kuchimba underground Ili waongeze frem kwo hili haliwezi Isha otherwise kiama kisimame
 
Ma engineer wakaguzi wa manispaa waliokua wanaidhinisha kila hatua ya ujenzi washitakiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…